Wednesday, December 21, 2011

Dar es Salaam hatari, maafa, tabu tupu!











































Thursday, December 8, 2011

Shamrashamra, maandalizi Miaka 50 ya Uhuru

Vifaru na magari ya kijeshi yakipita mbele ya jukwaa kuu wakati wa mazoezi ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru katika uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, jana. Kilele cha maadhimisho hayo kitakuwa kesho Desemba 9 uwanjani hapo.