Hizi ni pande za Tandale jijini Dar es Salaam, hawa watoto walijiokotea kipeperushi na wakaanza kujisomea bila ya kujua kuwa nasi tunawafuatilia

mara mmoja wao akashtukia.../ Aaah anatupiga picha huyuu

Baada ya hapo nao wakaanza kusoma kwa pozi wakijua kuwa wanafuatiliwa, wanapigwa picha