Tuesday, September 13, 2011


Wageni tunawasiri
Introduction inaanza na madhumuni ya ugeni wetu ukawekwa bayana
Introduction upande wa pili, kwa wenzetu
Hawa ni baadhi ya ndugu zangu walionisindikiza
Wazee, ndugu, majirani za wenyeji zetu

Tatizo likawa usafiri wa kumtoa mwali chumbani kuja sebuleni, ikatolewa


Hawa ndio wenye nyumba, uncle na aunt

Alipoletwa kazi ikawa kumfunua ili amtambue bwana harusi matarajiwa, ikatolewa dau pia


Akafunuliwa, mambo yakawa burdaaani!


Akaja kwangu mzee mwenyewe, usifanya mchezo!!
Baada ya hapo tukawekwa mtukati
Kitu mezani



Pete ikaletwa, jamani huyu ndiye dada yangu, Rehema

Mmmh!





Akavishwa pete









Nikaambiwa sasa ruksah!
Shangwe na vigeregere








Ikawa furaha tupu!




Nasi tukawa na maongezi yetu pia
Shukrani kwa wenyeji


Shukrani toka kwa mama mdogo wa bwana harusi mtarajiwa




Baada ya hapo tukahitimisha kwa msosi wa kukata na shoka