Picha linaanza, hapa ndio mzee ninamalizia utaratibu wa kuchukua jiko


Baada ya ndoa tukapiga picha
Siku ya pili mke wangu akaenda Salon kupambwa tayari kwa Reception, alipambwa na wale wajuaji wa mjini, Twaiba Classic salon



Mambo ya Twaiba hayo, si kupamba tu...hayta pamba unapata hapa


Hii ni copy ya kipeperushi nilichowatengenezea


Baadaye tukaingia Ukumbini, Banora pale jirani na Mlimani City

Tuliwakaaaaaaaaaaaaaa!!!!
Tukajichana, weweee!! We acha tu!!

Pia tukapewa vilivyo vyetu, walivyotuandalia kututunza
Tulijazwa na mijihela vilevile
Mama yangu (kushoto) na mama mkwe wangu
Baba yangu (kushoto) na baba mkwe wangu
Baba mkwe akimchum mwanaye
Hii ndiyo familia yetu
Pongezi kibaoooo
Mmeionaaaa!!















