Tuesday, September 13, 2011


Wageni tunawasiri
Introduction inaanza na madhumuni ya ugeni wetu ukawekwa bayana
Introduction upande wa pili, kwa wenzetu
Hawa ni baadhi ya ndugu zangu walionisindikiza
Wazee, ndugu, majirani za wenyeji zetu

Tatizo likawa usafiri wa kumtoa mwali chumbani kuja sebuleni, ikatolewa


Hawa ndio wenye nyumba, uncle na aunt

Alipoletwa kazi ikawa kumfunua ili amtambue bwana harusi matarajiwa, ikatolewa dau pia


Akafunuliwa, mambo yakawa burdaaani!


Akaja kwangu mzee mwenyewe, usifanya mchezo!!
Baada ya hapo tukawekwa mtukati
Kitu mezani



Pete ikaletwa, jamani huyu ndiye dada yangu, Rehema

Mmmh!





Akavishwa pete









Nikaambiwa sasa ruksah!
Shangwe na vigeregere








Ikawa furaha tupu!




Nasi tukawa na maongezi yetu pia
Shukrani kwa wenyeji


Shukrani toka kwa mama mdogo wa bwana harusi mtarajiwa




Baada ya hapo tukahitimisha kwa msosi wa kukata na shoka









Tukawa busy na msosi wetu
Kama kawa

Huyu mama yangu mdogo
Baada ya hapo tukapiga picha wooote
Hapa nipo na wachumba, kushoto ndiyo mwenyewe na kulia ni binamu yangu Nadya







Mama yangu kushoto, Munira na mama yangu mdogo
Mama yangu kushoto, Munira na mama yangu mdogo
Hapa mama, mama yangu mdogo na dada yangu, Rehema

Dada yangu na wifi yake


Mimi, Munira na Uncle